Logo ya Lugha PayLugha Pay

Toa pesa

Angalia salio na namna ya kuwasilisha ombi la kutoa pesa kwenye Lugha Pay.

Fomu ya kutoa pesa inapatikana kwenye dashboard, chini ya Salio Lako.

  1. Angalia salio lililopo kwenye kifaa chako.
  2. Weka kiasi, chagua mtandao na uweke namba yako ya simu.
  3. Wasilisha ombi na soma hali itakayoonyeshwa kwenye popup.

Bonyeza hapa chini kufungua fomu ya kutoa pesa.

Fungua fomu ya kutoa pesa