Anza chat
Chagua mgeni na muda wa kuchat kwenye Lugha Pay.
Kwenye dashboard, nenda sehemu ya Wazungu. Chagua kadi yenye hali ya Online, kisha bonyeza Anza Chat.
- Chagua mgeni unayetaka kuchat naye.
- Chagua muda kwenye chaguo zilizopo.
- Andika ujumbe wako kwenye chumba cha chat.
